KIUNGO wa zamani wa Simba, Azam FC na Taifa Stars, Ramadhan Chombo ‘Redondo’ amesema ikitokea akapewa nafasi kuchagua nyota wa sasa akapangwa kucheza naye mechi katika timu moja, basi fursa hiyo ...
Kiungo mshambuliaji huyo wa Azam FC kwa sasa yupo katika michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 akiwa na kikosi ...